No title

                SAFARI YA AISHI MANULA YAFIKIA SEHEMU SIYO NZURI

Mchezaji wa klabu ya simba Aishi manula safari yake ya maisha ndani ya klabu ya simba imefikia mahali siyo pazuri kutokana na majeruhi ya mara kwa mara pamoja na ujio wa goli kipya ,raia wa Moroco Ayoub Lakred .

Ayoub lakred amekua goli kipa tegemeo sana ndani ya klabu ya simba toka alivyosajiliwa katika dilisha la usajili la mwaka uliopita hivyo majeruhi ya Aishi Manula yameemfanya Ayoub kua goli kipa namba moja wa Simba na mbadala wake ni Ally Salum

Ally salum ni goli kipa mdogo ambaye anaonyesha matumaini ya kufika mbali ,goli kipa huyu amekua mhimili akisaidiana na goli kipa namba moja.

Hivyo bhasi klabu ya simba imefikiria kumtoa kwa mkopo goli kipa wake Aisshi Manula.Lenye mwanzo lazima liwe na mwissho kwa sasa safari ya manula imeanza kufika tamat indani ya klab ya simba

                                                      goli kipa wa simba Aishi Manula




Post a Comment (0)
Previous Post Next Post