No title

                            FANYA MAMBO HAYA ILI UFANIKIWE

 Hauna hata mia mbovu mfukoni?


Nataka uache kufanya haya mambo

• Acha kuomba watu pesa
• Acha kulalamikia Serikali
• Acha kulalamikia huna pesa
• Acha kusali Ili upate pesa, kwasababu Mbinguni hakuna pesa

Jiulize una kitu gani Cha kubadilishana na pesa?

Watu wakupe pesa.

Watu wote unao waona Kila siku kamwe hawatakupa pesa zao kama huna bidhaa au skills kubadilishana nao wakupe pesa.

Kwahiyo tafuta bidhaa au skills ambazo zitakupa pesa

Kama utatumia pesa Kila siku, vilevile utaunda pesa Kila siku

Watu Matajiri wanaunda pesa Kila siku kwasababu wanatumia pesa kupata pesa

Hakikisha una
• Bidhaa
• Skills







Post a Comment (0)
Previous Post Next Post